Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 397

Author: jomushi

Mapambano Yazuka Upya Nchini Burkina Faso

Posted on: September 20, 2015September 20, 2015 - jomushi
Mapambano Yazuka Upya Nchini Burkina Faso

MAPAMBANO yamezuka kwenye hoteli moja katika Mji Mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou, ambako mazungumzo ya amani yamekuwa yakifanyika, baada ya mapinduzi ya juma lilopita. Mapambano…

Continue Reading....

Wanafunzi Sekondari ya Loyola Wajeruhiwa kwa Ajali Dar

Posted on: September 20, 2015 - jomushi
Post Tags: ajali
Wanafunzi Sekondari ya Loyola Wajeruhiwa kwa Ajali Dar

 Mwanafunzi wa Sekondari ya Loyola akipelekwa kwenye gari kuelekea Hospitali ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo mchana, baada ya bajaj yenye namba za…

Continue Reading....

Mkutano Kujadili Mipango Endelevu Afrika Wafanyika Tanzania

Posted on: September 20, 2015 - jomushi
Mkutano Kujadili Mipango Endelevu Afrika Wafanyika Tanzania

 Meneja Mipango wa Ofisi ya Maendeleo  Don Bosco Tanzania, Rosemarytery  Njoki (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kutoka kulia ni  Mkurugenzi wa Maendeleo wa Don Bosco Tanzania,…

Continue Reading....

CCM Kuwatafutia Wakulima Soko la Mihogo Nchini China

Posted on: September 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni CCM
CCM Kuwatafutia Wakulima Soko la Mihogo Nchini China

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwatafutia soko nchini China wakulima wa zao la mihogo Mkoani Mtwara ili kukuza…

Continue Reading....

Mkutano wa Edward Lowassa Mji wa Bukoba…!

Posted on: September 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni Chade
Mkutano wa Edward Lowassa Mji wa Bukoba…!

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia…

Continue Reading....

Mbene; Akerwa na Uchakavu wa Miundombinu Viwandani

Posted on: September 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Viwanda
Mbene; Akerwa na Uchakavu wa Miundombinu Viwandani

Na Humphrey Shao, Dar es Salaam TANZANIA ni moja kati ya nchi ambayo ipo katika jitahada kubwa kuhakikisha kuwa inakuwa nchi ya viwanda ifikapo mwaka…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari