Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 395

Author: jomushi

Jaji Warioba Amnadi Kippi

Posted on: September 22, 2015 - jomushi
Jaji Warioba Amnadi Kippi

Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi Mgombea  Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba…

Continue Reading....
Posted on: September 22, 2015 - jomushi

  Ndg Abel Mudo, mgombea wa udiwani kata ya Kisarawe kupitia CCM akichangia katika mdahalo wa ajenda ya watoto ambapo ulihusisha pia wakazi wa kata…

Continue Reading....

UN na Tanzania Kuendelea Kudumisha Amani

Posted on: September 22, 2015September 22, 2015 - jomushi
UN na Tanzania Kuendelea Kudumisha Amani

Mgeni rasmi Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (wa pili kushoto) akisalimiana…

Continue Reading....

Bomu Lalipuka Ikulu Somalia, Lauwa 6

Posted on: September 21, 2015 - jomushi
Bomu Lalipuka Ikulu Somalia, Lauwa 6

BOMU lililotegwa ndani ya gari limelipuka karibu na lango kuu la jumba la rais katika mji mkuu wa Mogadishu. Takriban watu sita wamefariki, ikiwemo walinzi…

Continue Reading....

Mgombea Mwenza CCM Avunja Ngome ya ACT Tanga, Avuna Wanachama 272 wa Upinzani

Posted on: September 21, 2015September 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni CCM
Mgombea Mwenza CCM Avunja Ngome ya ACT Tanga, Avuna Wanachama 272 wa Upinzani

Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan…

Continue Reading....

Maadhimisho Siku ya Wenye Mtindio wa Ubongo Kufanyika Oktoba 7, 2015

Posted on: September 21, 2015 - jomushi
Maadhimisho Siku ya Wenye Mtindio wa Ubongo Kufanyika Oktoba 7, 2015

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo, Akili na Viungo Tanzania (Chawaumavita), Hillar Said (kushoto), akizungumza katika mkutano…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari