Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 392

Author: jomushi

Mgombea Urais ‘UKAWA’ Abisha Hodi Lindi Mjini…!

Posted on: September 24, 2015 - jomushi
Mgombea Urais ‘UKAWA’ Abisha Hodi Lindi Mjini…!

Umati wa Wananchi wa Lindi Mjini, wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),…

Continue Reading....

Serikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka Miwili Madarakani

Posted on: September 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Kampeni CCM
Serikali ya CCM Yaahidi Kuweka Umeme Vijiji Vyote Tanzania Ndani ya Miaka Miwili Madarakani

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la…

Continue Reading....

Karsan Awashukia Viongozi wa Dini, Wanahabari

Posted on: September 23, 2015 - jomushi
Karsan Awashukia Viongozi wa Dini, Wanahabari

Mgeni rasmi Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (wa pili kushoto) akisalimiana…

Continue Reading....

Marekani Yamwagia Sifa Kikwete kwa Kuheshimu Katiba na kukabidhi madaraka

Posted on: September 23, 2015 - jomushi
Marekani Yamwagia Sifa Kikwete kwa Kuheshimu Katiba na kukabidhi madaraka

Viongozi wa Marekani wamemwagia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete sifa kubwa za ujenzi na ulezi wa demokrasia, heshima kwa haki…

Continue Reading....

Tanzania Kunufaika na Uwekezaji wa Mabilioni ya Marekani Katika Umeme

Posted on: September 23, 2015September 24, 2015 - jomushi
Tanzania Kunufaika na Uwekezaji wa Mabilioni ya Marekani Katika Umeme

TANZANIA  ni moja ya nchi tatu za Afrika ambazo zitanufaika na uwekezaji wa mabilioni ya fedha katika sekta ya umeme kutokana na mpango maalum wa…

Continue Reading....

JK Atoa Zawadi za Idd El Haji

Posted on: September 23, 2015 - jomushi
JK Atoa Zawadi za Idd El Haji

 Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Mwakilishi wa Mahabusu ya Watoto Upanga, Regina Kuname…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari