Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 343

Author: jomushi

Kesi ya Mgogoro wa Mazishi ya Kiongozi wa Chadema Mwanza

Posted on: November 24, 2015November 24, 2015 - jomushi
Kesi ya Mgogoro wa Mazishi ya Kiongozi wa Chadema Mwanza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema kimefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, ili kuiomba Mahakama hiyo kutengua zuio la kuuaga mwili wa aliekuwa Mwenyekiti wa chama hicho…

Continue Reading....

Wasindikaji Wadogo wa Mafuta ya Alizeti Walalamikia Mbegu

Posted on: November 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Mafuta ya alizeti
Wasindikaji Wadogo wa Mafuta ya Alizeti Walalamikia Mbegu

Meneja Mkuu wa kiwanda cha kuzalisha mafuta ya alizeti cha Glory Farm & Agricultural Products, Justin Nyamoga akitoa maelezo jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi zake…

Continue Reading....

Kaskazini Wazungumzia Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili

Posted on: November 24, 2015November 24, 2015 - jomushi
Kaskazini Wazungumzia Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini na Meneja Miradi wa Shirika lisilo la kiserikali la NAFGEM,…

Continue Reading....

Rais Dk Magufuli Aendelea ‘Kuichonga’ Serikali, Afuta 9 Desemba

Posted on: November 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Rais Dk Magufuli
Rais Dk Magufuli Aendelea ‘Kuichonga’ Serikali, Afuta 9 Desemba

*Aigeuza 9 Desemba kuwa Uhuru na Kazi RAIS wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ameendelea kufanya mabadiliko ndani ya serikali yake…

Continue Reading....

Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Vyuo Vikuu Waaswa

Posted on: November 22, 2015November 22, 2015 - jomushi
Wanafunzi Wenye  Mahitaji  Maalum Vyuo Vikuu Waaswa

Wanafunzi wenye mahitaji maalum wanaosoma vyuo vikuu nchini wameaswa kutumia elimu wanayoipata kuendesha maisha yao ili waweze kujiletea maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Hayo…

Continue Reading....

NSSF Yaendesha Kongamano la Waajiri na Taasisi Mbalimbali

Posted on: November 22, 2015 - jomushi
NSSF Yaendesha Kongamano la Waajiri na Taasisi Mbalimbali

Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF Makao Makuu,Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari