Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 323

Author: jomushi

Wahitimu Vyuo Vikuu Watakiwa Kuungana na Rais Dk Magufuli

Posted on: December 23, 2015 - jomushi
Post Tags: Vyuo Vikuu
Wahitimu Vyuo Vikuu Watakiwa Kuungana na Rais Dk Magufuli

Na Mwandishi Wetu, Pwani WAHITIMU wanaomaliza vyuo vikuu hapa nchini wametakiwa kumsaidia Rais John Magufuli kupambana na rushwa, ufisadi uliokithiri kwa kuhakikisha hawajihusishi na masuala…

Continue Reading....

Wakazi Dar Wameza Vidonge vya Minyoo, Matende na Mabusha

Posted on: December 23, 2015 - jomushi
Post Tags: afya
Wakazi Dar Wameza Vidonge vya Minyoo, Matende na Mabusha

Kampeni ya Ugawaji wa Dawa za kujikinga na magonjwa ya minyoo, matende na mabusha inaanza jijini Dar es Salaam mwezi huu na inatarajiwa kuendelea katika…

Continue Reading....

Rais Magufuli Ateta na Maalim Seif Hamad, Amuakikishia Amani Zanzibar

Posted on: December 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Zanzibar
Rais Magufuli Ateta na Maalim Seif Hamad, Amuakikishia Amani Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad pamoja na Rais Dk. John…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Majaliwa Aonya Mahindi Kutengeneza Pombe

Posted on: December 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Majaliwa Aonya Mahindi Kutengeneza Pombe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku chakula cha msaada kutumiwa kutengeneza pombe za kienyeji na kwamba atakayekamatwa atachukuliwa hatua za kinidhamu. Ametoa kauli hiyo wakati…

Continue Reading....

Simba Yamzawadia Hussein Tshabalala ni Baada ya Kushinda..!

Posted on: December 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Club ya Simba
Simba Yamzawadia Hussein Tshabalala ni Baada ya Kushinda..!

IKIWA ni hali ya kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabu ya Simba ilianzisha Tunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.…

Continue Reading....

Wanafunzi UDSM Wahamasisha Utalii wa Ndani…!

Posted on: December 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Utalii
Wanafunzi UDSM Wahamasisha Utalii wa Ndani…!

Mnyama Ngiri akiwa amejipumzisha kwenye tope kama alivyokutwa na kamera yetu Baadhi ya Wanafunzi  wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wamefanya ziara ya siku…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari