Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 307

Author: jomushi

TTCL Kurejea Kuwa Mali ya Umma kwa Asilimia 100

Posted on: January 20, 2016 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
TTCL Kurejea Kuwa Mali ya Umma kwa Asilimia 100

SERIKALI ipo katika hatua za mwisho za kuilipa kampuni ya Bharti Airtel ili kurejesha umiliki wa asilimia 100 katika Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL. Uamuzi…

Continue Reading....

Dk. Kigwangalla Aunda Kikosi Kuboresha Mfuko wa Afya ya Jamii

Posted on: January 20, 2016 - jomushi
Post Tags: Mfuko wa Afya ya Jamii
Dk. Kigwangalla Aunda Kikosi Kuboresha Mfuko wa Afya ya Jamii

  NAIBU Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dk. Hamisi Kigwangalla ameanzisha kikosi kazi cha watu 24 ambacho kitakuwa na…

Continue Reading....

Balozi wa Norway Tanzania Awatunuku Vyeti Wahitimu Chuo cha Ufundi Arusha

Posted on: January 19, 2016 - jomushi
Post Tags: veta
Balozi wa Norway Tanzania Awatunuku Vyeti Wahitimu Chuo cha Ufundi Arusha

Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne – Marie Kaarstad ambaye alikua mgeni rasmi katika Mahafali ya Saba ya Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) akiwatunuku Vyeti,…

Continue Reading....

TANESCO Yafafanua Madai Wakazi wa Kijiji cha Seseko Shinyanga

Posted on: January 19, 2016January 19, 2016 - jomushi
Post Tags: TANESCO
TANESCO Yafafanua Madai Wakazi wa Kijiji cha Seseko Shinyanga

Na Benedict Liwenga-MAELEZO SHIRIKA la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) limetolea ufafanuzi kuhusu malalamiko ya Wakazi wa kijiji cha Seseko Kata ya Mwamalili mkoani Shinyanga.…

Continue Reading....

Mpinzania wa John Heche Aenda Mahakamani Kupinga Ushindi

Posted on: January 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Kesi ya Uchaguzi
Mpinzania wa John Heche Aenda Mahakamani Kupinga Ushindi

Pichani ni Wakili Tundu Lisu (Katikati) ambae ni Wakili upande wa mjibu maombi wa kwanza ambae ni Mbunge wa Jimbo hilo John Heche akizungumza juu…

Continue Reading....

Mwili wa Leticia Nyerere Wawasili Jijini Dar Mazishi Kufanyika Butiama

Posted on: January 19, 2016 - jomushi
Mwili wa Leticia Nyerere Wawasili Jijini Dar Mazishi Kufanyika Butiama

 Mwili huo ukiingizwa kwenye gari maalumu katika uwanja huo.  Ndugu jamaa na marafiki wakijadiliana jambo wakati wa kuupokea mwili huo.  Ndugu, jamaa, marafiki na watoto…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari