Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 301

Author: jomushi

UNESCO na Kongamano Kujadili Mpango wa Maendeleo Sekta ya Elimu

Posted on: January 28, 2016 - jomushi
Post Tags: UNESCO
UNESCO na Kongamano Kujadili Mpango wa Maendeleo Sekta ya Elimu

  KONGAMANO lililoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya…

Continue Reading....

Nape; TBC Haijafuta Kurusha Vipindi vya Bunge

Posted on: January 28, 2016 - jomushi
Post Tags: Vipindi vya Bunge
Nape; TBC Haijafuta Kurusha Vipindi vya Bunge

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO SERIKALI imetolea ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji kwa umma kuwa imefuta vipindi vya shughuli za Bunge kuoneshwa katika televisheni ya Shirika…

Continue Reading....

Illovo Tanzania Wakabidhi Jengo la Maktaba

Posted on: January 28, 2016 - jomushi
Illovo Tanzania Wakabidhi Jengo la Maktaba

 Mweka hazina wa kikundi cha Jenga cha Kilombero Candice Roe-Scott akiongea na vikundi ambavyo watafaidika na jengo jipya litakalo tumika kwa kwa ajili ya maktaba,…

Continue Reading....

NMB Yashiriki Maonesho ya Kongamano la Biashara Afrika Mashariki

Posted on: January 28, 2016 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
NMB Yashiriki Maonesho ya Kongamano la Biashara Afrika Mashariki

Meneja Mahusiano Programu za Wakulima Wadogo wa Benki ya NMB Plc, John Machunda (kushoto) akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na…

Continue Reading....

Jovago Kuwapeleka WanaValentine Ramada Hotel

Posted on: January 28, 2016January 28, 2016 - jomushi
Post Tags: Jovago Tanzania
Jovago Kuwapeleka WanaValentine Ramada Hotel

KAMPUNI ya Jovago Tanzania ambayo ni wadau wakubwa wa sekta ya utalii nchini Tanzania imeahidi kuwapeleka wapendanao (Wana Valentine) kupumzika kwa siku moja kwenye Hoteli…

Continue Reading....

Mitandao ya Kijamii Yamzushia Rais Magufuli, Ni Kuhusu Safari ya Kenya

Posted on: January 28, 2016January 28, 2016 - jomushi
Mitandao ya Kijamii Yamzushia Rais Magufuli, Ni Kuhusu Safari ya Kenya

KUMEKUWEPO na habari za uongo na potofu katika mtandao wa jamii wa www.kenya-today.com kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari