Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 300

Author: jomushi

Mahakama Kuu Mwanza Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Matokeo Tarime Vijijini

Posted on: January 29, 2016January 30, 2016 - jomushi
Post Tags: Mahakama Kuu
Mahakama Kuu Mwanza Yatupilia Mbali Kesi ya Kupinga Matokeo Tarime Vijijini

Na George Binagi-GB Pazzo MAHAKAMA Kuu Kanda ya Mwanza imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Novemba 25 mwaka jana, katika Jimbo…

Continue Reading....

Angalia Athari ya Mvua Zinazoendelea Dar es Salaam…!

Posted on: January 29, 2016 - jomushi
Post Tags: Mvua Dar
Angalia Athari ya Mvua Zinazoendelea Dar es Salaam…!

   Kituo cha daladala za kwenda Gongolamboto cha Suwata Kariakoo kikiwa kimejaa maji hivyo  kuleta adha kwa watumiaji kufuatia mvuo hizo.  Dimbwi la maji likiwa…

Continue Reading....

Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano Watembelea TTCL

Posted on: January 29, 2016 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano Watembelea TTCL

KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Faustine Kamuzora na Naibu Katibu Mkuu wake, Dk. Mary Sassabo wamefanya ziara ya kikazi katika Kampuni…

Continue Reading....

Serikali Kurejesha Mali Zilizopatikana na Uhujumu Uchumi

Posted on: January 28, 2016 - jomushi
Serikali Kurejesha Mali Zilizopatikana na Uhujumu Uchumi

NA MAGRETH KINABO NA ALLY DAUD – MAELEZO Serikali inaendelea kusimamia urejeshaji wa mali zilizopatikana kwa njia ya kihalifu kupitia mpango wa kupambana na uhalifu…

Continue Reading....

Serikali Kuendelea Kujenga Barabara kwa Kiwango cha Lami

Posted on: January 28, 2016 - jomushi
Serikali Kuendelea Kujenga Barabara kwa Kiwango cha Lami

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO Serikali imeahidi kuendelea na ujenzi wa barabara katika maeneo tofauti nchini kwa kiwango cha lami ili kutatua adha kubwa ya ubovu…

Continue Reading....

Tajiri wa Chocolate Duniani Atembelea Tanzania

Posted on: January 28, 2016 - jomushi
Tajiri wa Chocolate Duniani Atembelea Tanzania

Na Sixmund J. Begashe Mfanyabishara mkubwa wa Chocolate duniani na mmiliki wa Kampuni ya kutengeneza Chocolate nchini Italia, ya SILVIO BESSONO Bw SILVIO BESSONO na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari