Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 293

Author: jomushi

Mtanzania Auwawa Nchini Kenya, Kamari Yamponza

Posted on: February 9, 2016 - jomushi
Post Tags: Kamari
Mtanzania Auwawa Nchini Kenya, Kamari Yamponza

RAIA wa Tanzania ameuawa na umati mjini Nairobi baada ya yeye kudaiwa kuwashambulia na kuwaua watu wawili katika kasino. Watu walioshuhudia tukio hilo walisema mwanamume…

Continue Reading....

Barabara za Mzunguko Kuanza Kujengwa Dar Juni

Posted on: February 9, 2016February 9, 2016 - jomushi
Post Tags: barabara
Barabara za Mzunguko Kuanza Kujengwa Dar Juni

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa barabara za mzunguko (ring roads) zenye lengo la kupunguza msongamano wa magari katikati…

Continue Reading....

Tigo Yakabidhi Vifaa vya Mawasiliano na Michezo kwa Wanahabari

Posted on: February 9, 2016 - jomushi
Post Tags: wanahabari
Tigo Yakabidhi Vifaa vya Mawasiliano na Michezo kwa Wanahabari

  Meneja Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha (Kushoto) akikabidhi vifaa mbalimbali vifaa vya mawasiliano na michezo vyenye thamani ya shilingi milioni nane kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma (CPC) Habel Chidawali, ili kufanikisha bonanza…

Continue Reading....

Asilimia 10 tu ya Watanzania Wanamiliki Uchumi-Waziri Mkuu

Posted on: February 9, 2016 - jomushi
Asilimia 10 tu ya Watanzania Wanamiliki Uchumi-Waziri Mkuu

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imebuni na kuanza kutekeleza Sera ya Uwekezaji ili kufikia lengo la kuwawezesha wananchi kiuchumi. “Taarifa zilizopo zinaonyesha ni asilimia…

Continue Reading....

Mama Janeth Magufuli Amjulia Hali Mufti Mkuu wa Tanzania

Posted on: February 8, 2016 - jomushi
Post Tags: Mama Janeth Magufuli
Mama Janeth Magufuli Amjulia Hali Mufti Mkuu wa Tanzania

Continue Reading....

Waziri Prof Mbarawa Aifuata ATC, Ataka Ianze Kazi

Posted on: February 8, 2016 - jomushi
Post Tags: Shirika la Ndege Tanzania
Waziri Prof Mbarawa Aifuata ATC, Ataka Ianze Kazi

SERIKALI imezungumzia umuhimu wa kulifufua upya Shirika la Ndege nchini Air Tanzania (ATC) kwa kulinunulia ndege mpya na kulipa mtaji ili lifanye kazi kibiashara na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari