Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 282

Author: jomushi

Ipigie Kura Filamu ya Mpango Mbaya Katika Shindano la AMVCA 2016

Posted on: February 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Filamu ya Mpango Mbaya
Ipigie Kura Filamu ya Mpango Mbaya Katika Shindano la AMVCA 2016

Wadau wa filamu nchini tunaomba muendelee kuipigia kura filamu yetu ya Mpango Mbaya ilichezwa na washiriki wachanga kabisa ambao ni zao la Shindano la Tanzania…

Continue Reading....

Waziri Angela Kairuki Atumbua Majipu Matatu kwa Pamoja

Posted on: February 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Majipu
Waziri Angela Kairuki Atumbua Majipu Matatu kwa Pamoja

Baadhi ya Waandishi wa Habari na viongozi mbalimbali wakisikiliza taarifa toka kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais; Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala…

Continue Reading....

Yoweri Museveni Atangazwa Mshindi wa Urais Uganda

Posted on: February 20, 2016 - jomushi
Post Tags: uganda
Yoweri Museveni Atangazwa Mshindi wa Urais Uganda

TUME ya Uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Museveni kuwa ni mshindi wa Uchaguzi wa Urais uliofanyika Alhamisi iliyopita. Kwa mujibu wa tume hiyo Rais…

Continue Reading....

Benki ya Posta Yajenga Vyoo Shule ya Msingi Makambi, Ruvuma

Posted on: February 20, 2016 - jomushi
Post Tags: Benki ya Posta Tanzania
Benki ya Posta Yajenga Vyoo Shule ya Msingi Makambi, Ruvuma

 Wanafunzi wa shule ya msingi ya Makambi iliyopo Kata ya Ndilima Litembo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wakifurahia vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Benki ya Posta…

Continue Reading....

Yanga Noma, Yaichinja Simba Tena…!

Posted on: February 20, 2016 - jomushi
Post Tags: Simba na Ya
Yanga Noma, Yaichinja Simba Tena…!

TIMU ya Yanga leo imefanikiwa kutamba tena kwa watani wao wa jadi baada ya kuibamiza timu ya Simba mabao 2-0 huu ukiwa ni mchezo wa…

Continue Reading....

Wanahabari Waliminya Sauti za Wanawake Uchaguzi Mkuu – TAMWA

Posted on: February 20, 2016March 1, 2016 - jomushi
Post Tags: TAMWA
Wanahabari Waliminya Sauti za Wanawake Uchaguzi Mkuu – TAMWA

Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimesema wanawake waliogombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu 2015 walikosa nafasi ya kutosha kuzungumza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari