Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 280

Author: jomushi

Chama cha Bodaboda Liwale Chakopesha Pikipiki 62 kwa ‘Bodaboda’

Posted on: February 24, 2016 - jomushi
Post Tags: bodaboda
Chama cha Bodaboda Liwale Chakopesha Pikipiki 62 kwa ‘Bodaboda’

Mgeni rasmi akikabidhi pikipiki kwa mwanacha hii leo maeneo ya ofisi za chama cha bodaboda. Afisa maendeleo ya jamii wilayani Liwale bibi Mary Ding’ohi akifafanua…

Continue Reading....

Prof. Mbarawa Amteuwa Johari Kuwa Mkurugenzi Mkuu TCAA

Posted on: February 24, 2016 - jomushi
Post Tags: Mkurugenzi Mkuu TCAA
Prof. Mbarawa Amteuwa Johari Kuwa Mkurugenzi Mkuu TCAA

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemteuwa Bw. Hamza Said Johari kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA).…

Continue Reading....

Vijana Waliopitia JKT Kuajiriwa Ilala

Posted on: February 24, 2016 - jomushi
Vijana Waliopitia JKT Kuajiriwa Ilala

Na Raymond Mushumbusi-MAELEZO HALMASHAURI ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam ipo katika mikakati ya kuajiri vijana waliopita Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kama…

Continue Reading....

Serikali Kutoa Mikataba Maalum ya Ajira Sekta ya Ujenzi

Posted on: February 24, 2016 - jomushi
Serikali Kutoa Mikataba Maalum ya Ajira Sekta ya Ujenzi

Serikali imesema iko mbioni kukamilisha mkataba maalumu wa ajira utakaotumiwa na makandarasi wote nchini katika kuajiri watanzania wazalendo kwenye miradi ya ujenzi inayosimamiwa na sekta…

Continue Reading....

Tigo Yafikisha 4G LTE Moshi

Posted on: February 24, 2016 - jomushi
Tigo Yafikisha 4G LTE Moshi

    Meneja wa huduma ya 4G LTE, Benedict Mponzi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) katikati ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Kaskazini…

Continue Reading....

Msajili wa Hazina Akagua Ujenzi wa Mradi wa ECO RESIDENCE

Posted on: February 24, 2016 - jomushi
Msajili wa Hazina Akagua Ujenzi wa Mradi wa ECO RESIDENCE

Bw. Lawrence Mafuru Msajili wa Hazina akishuka kwenye gari wakati alipowasili kwenye mradi wa Eco Residence ulioko Kinondoni Hananasifu unaojengwa na shirika la Nyumba la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari