WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amepokea msaada wa kujenga zahanati na nyumba ya mganga kwenye kijiji cha Nandagala, wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi. Msaada huo wenye…
Continue Reading....Author: jomushi
Eng. Edwin Ngonyani Azipa Changamoto Taasisi za Serikali
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, amezitaka taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufanya kazi kwa uadilifu, bidii na kwa uharaka…
Continue Reading....NMB Yazinduwa Kituo cha Biashara Mkoa wa Mbeya…!
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa NMB Business Center Mkoa wa Mbeya akizungumza na wafanyabiashara katika uzinduzi…
Continue Reading....Kauli ya DC Makonda Akifuta Nauli kwa Walimu Dar
MOJA ya jambo ambalo serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi makini wa Mheshimiwa John Pombe Magufuri imelifanya kuwa kipaumbele kikubwa kwenye mipango yake…
Continue Reading....TPB Yatoa Mikopo kwa Vikundi vya SACCOS Kigoma
KATIKA jitihada za kuwafikia Watanzania wengi zaidi na kuwawezesha kiuchumi,Benki ya Posta Tanzania (TPB) imekabidhi mikopo kwa vikundi viwili vya SACCOS ambavyo ni TWCC Women…
Continue Reading....Waziri Mkuu Apokea Misaada ya Maafa Ruangwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea misaada mbalimbali kwa ajili ya wakazi wa vijiji vya Mtondo na Nanjaru wilayani Ruangwa mkoani Lindi ambao nyumba zao ziliezuliwa…
Continue Reading....