Kumekuwa na taarifa za upotoshaji zinasombazwa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kutolewa kwa ajira mpya ya walimu kwa shule za sekondari na msingi kwa…
Continue Reading....Author: jomushi
Waalikwa Kwenye Celebrity Corporate Conference & Cocktail
Itakayofanyika Ijumaa 11/03/2016 katika Hotel ya Hyatt regency. Kama Usipoona jina lako hapa, basi liko kwenye list ya October,2016 ambapo event hii itafanyika tena. WAPI:…
Continue Reading....Dk. Possi Azindua Kitabu cha Jinsi ya Kuondokana na Umasikini
Na Raymond Mushumbusi ,MAELEZO Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu,Bunge,Kazi,Ajira na Walemavu Dkt Abdallah Possi amezindua kitabu kinachoelezea namna ya Tanzania inavyoweza…
Continue Reading....Waziri Mkuu Awahakikishia Fursa za Uwekezaji wa Vietnam
Na Anitha Jonas – MAELEZO Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania Kassim Majaliwa amewahakikishia wawekezaji kutoka Vietnam kuwepo kwa…
Continue Reading....Watoto chini ya miaka 5 Kunufaika na Upimaji wa Afya bure kutoka Bango Sangho
Umoja wa Watu kutoka Bengali, India wanaoishi Tanzania (Bango Sangho) unataraji kutoa huduma ya upimaji wa afya bure kwa watoto walio na umri chini ya…
Continue Reading....Umoja wa Mataifa Wanawake Wazindua Kundi la ‘HEFORSHE’, Kuweka Usawa wa Kijinsia
Umoja wa Mataifa Wanawake (UN Women) nchini umefanya uzinduzi wa kundi la mshikamano la Kimataifa linalohusisha wanaume na wavulana lililo na malengo ya kuhakikisha…
Continue Reading....