SERIKALI imesema awamu ya pili ya Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma itaanza rasmi Julai mwaka huu. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa…
Continue Reading....Author: jomushi
Walionunua Nyumba za NSSF Mtoni Kijichi Watakiwa Kukamilisha Malipo
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof Godius Khyarara ametoa rai kwa wale Wote walionunua nyumba za Mtoni Kijichi kukamilisha malipo ya nyumba…
Continue Reading....Jeshi la Polisi Laongeza Muda Zoezi la Uhakiki Silaha
Na Dotto Mwaibale JESHI la Polisi nchini limeongeza muda wa miezi mitatu kwa ajili ya kutoa fursa kwa wananchi kuhakiki silaha zao kote nchini. Hayo…
Continue Reading....Jokate na Mo Dewji Kujenga Uwanja Sekondari ya Jangwani
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani wanataraji kunufaika kwa kupata uwanja wa michezo ambao unajegwa kwa ushirikiano wa Mwanamitindo Jokate Mwegelo na…
Continue Reading....Ma RC Waagizwa Kutumia Mfumo wa Kieletroniki Kukusanya Mapato
Na Rebecca Kwandu WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), George Simbachawene amewaagiza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha wanakusanya…
Continue Reading....Kibaha Kulipa Fidia kwa Wanaostahili
Na Raymond Mushumbusi MAELEZO Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani imeahidi kuwalipa wananchi wanaostahili kulipwa fidia ya ardhi ambayo ilichukuliwa na Serikali kwa…
Continue Reading....