Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 246

Author: jomushi

Prof. Muhongo Atuwa Dar kwa Kishindo, Ashinda Mjadala Bomba la Mafuta

Posted on: April 24, 2016 - jomushi
Post Tags: Bomba la Mafuta
Prof. Muhongo Atuwa Dar kwa Kishindo, Ashinda Mjadala Bomba la Mafuta

  Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, akionyesha kwa wanahabari, mpango wa ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka nchini Uganda mpaka Jijini Tanga,…

Continue Reading....

Msemaji wa Papa Wemba Aelezea Kifo Kilivyomkuta, Afia ‘Jukwaani’

Posted on: April 24, 2016 - jomushi
Msemaji wa Papa Wemba Aelezea Kifo Kilivyomkuta, Afia ‘Jukwaani’

TAARIFA ya kufariki kwa mwanamuziki nguli wa kiafrika Papa Wemba imepokewa kwa mshtuko mkubwa na mashabiki wake kote duniani. Video inayosambazwa katika mitandao ya kijamii…

Continue Reading....

Wizara ya Ujenzi Yakusanya Maoni Mbeya Kuboresha ‘TEHAMA’

Posted on: April 24, 2016April 24, 2016 - jomushi
Wizara ya Ujenzi Yakusanya Maoni Mbeya Kuboresha ‘TEHAMA’

Mkurugenzi Msaidizi anayeshughulikia masuala ya Simu katika Wizara ya Ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Ndugu John Mwera akizungumza na wanahabari katika viwanja vya Chuo Cha Uhasibu…

Continue Reading....

Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Ujenzi Lakutana

Posted on: April 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Sekta ya Ujenzi
Baraza la Wafanyakazi Sekta ya Ujenzi Lakutana

Continue Reading....

Matukio Katika Picha Bungeni Mjini Dodoma…!

Posted on: April 22, 2016April 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Bungeni Dodoma
Matukio Katika Picha Bungeni Mjini Dodoma…!

Wabunge wakijadiliana jambo ndani bunge Wabunge wakipata habari kupitia kwenye simu bungeni Mbunge wa Jimbo la Momba, David Silinde akichangia hoja bungeni Mbunge wa Jimbo…

Continue Reading....

DC Temeke Azinduwa Michuano ya UMISETA Dar

Posted on: April 22, 2016 - jomushi
Post Tags: UMISETA
DC Temeke Azinduwa Michuano ya UMISETA Dar

    Wanafunzi wa shule za sekondari za mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye uzinduzi huo.  Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto), akikabidhi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari