Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 245

Author: jomushi

Hotuba Zima ya Kabwe Zitto Mkutano wa ACT Wazalendo Dar

Posted on: April 25, 2016 - jomushi
Post Tags: ACT Wazalendo
Hotuba Zima ya Kabwe Zitto Mkutano wa ACT Wazalendo Dar

Hotuba ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndgugu Kabwe Z R Zitto kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama iliyoketi jijini Dar es Salaam…

Continue Reading....

Mkandarasi Apewa Wiki Mbili Kukamilisha Barabara ya Morroco-Mwenge

Posted on: April 25, 2016 - jomushi
Post Tags: Barabara ya Mwenge
Mkandarasi Apewa Wiki Mbili Kukamilisha Barabara ya Morroco-Mwenge

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ametoa wiki mbili kwa mkandarasi ESTIM Construction anayejenga barabara ya Bagamoyo, Sehemu ya Morroco-Mwenge kilomita 4.3…

Continue Reading....

UVCCM Arumeru Wamdindia Mwenyekiti UVCCM Mkoa Arusha

Posted on: April 25, 2016 - jomushi
Post Tags: UVCCM
UVCCM Arumeru Wamdindia Mwenyekiti UVCCM Mkoa Arusha

    Na Woinde Shizza, Arusha BARAZA la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilaya ya Arumeru limelaani kitendo cha Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa…

Continue Reading....

Zitto Kabwe Asema Serikali ya JPM Inamawaziri Hewa…!

Posted on: April 25, 2016April 25, 2016 - jomushi
Post Tags: Zitto Kabwe
Zitto Kabwe Asema Serikali ya JPM Inamawaziri Hewa…!

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Kabwe Zuberi Zitto (Mb) amesema mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli hawana…

Continue Reading....

Serikali Yaunda Kamati Kuanzisha Tume ya TEHAMA

Posted on: April 25, 2016 - jomushi
Post Tags: TEHAMA
Serikali Yaunda Kamati Kuanzisha Tume ya TEHAMA

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, ameunda Kamati ya mpito ya kusimamia uanzishwaji wa Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA)…

Continue Reading....

Tanzania Diaspora Conference & NDA Celebrations 2016…!

Posted on: April 25, 2016 - jomushi
Tanzania Diaspora Conference & NDA Celebrations 2016…!

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari