Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 243

Author: jomushi

Watu Watatu Wanaosadikiwa kuwa Majambazi Wauwawa Mkoani Mbeya

Posted on: April 28, 2016 - jomushi
Watu Watatu Wanaosadikiwa kuwa Majambazi Wauwawa Mkoani Mbeya

Na EmanuelMadafa. JESHI la Polisi mkoani Mbeya limewauwa watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakati wa kurushiana risasi. Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya…

Continue Reading....

Waziri wa Afya Afunga Mkutano wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Dar

Posted on: April 28, 2016 - jomushi
Post Tags: mkutano
Waziri wa Afya Afunga Mkutano wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Dar

Mwenyekiti wa Chama cha Maofisa Kumbukumbu na Taarifa za Afya Tanzania (THERIA), Geofrey Semu akizungumza katika mkutano wa THERIA leo jijini Dar es Salaam. Mkutano huo…

Continue Reading....

Wanafunzi International School of Tanganyika Watembelea Ofisi za UN Tanzania

Posted on: April 27, 2016 - jomushi
Post Tags: UN Tanzania
Wanafunzi International School of Tanganyika Watembelea Ofisi za UN Tanzania

Continue Reading....

Mtuhumiwa Ufisadi Akamatwa na Saa ya Thamani USD Milioni 1

Posted on: April 27, 2016 - jomushi
Mtuhumiwa Ufisadi Akamatwa na Saa ya Thamani USD Milioni 1

POLISI wa kupambana na ufisadi nchini Nigeria, wamenasa saa yenye thamani ya takriban dola za Kimarekani milioni moja nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa zamani wa…

Continue Reading....

RC Said Sadicky Ajitambulisha Hai, Azungumza na Watumishi

Posted on: April 27, 2016 - jomushi
Post Tags: Kilimanjaro
RC Said Sadicky Ajitambulisha Hai, Azungumza na Watumishi

  Baadhi ya viongozi wa Taasisi mbalimbali katika wilaya ya Hai wakiwa katika kikao hicho. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Gelasius Byakanwa akizungumza katika kikao…

Continue Reading....

Programu ya Fursa kwa Watoto Yazinduliwa…!

Posted on: April 27, 2016 - jomushi
Post Tags: Jinsia na Watoto
Programu ya Fursa kwa Watoto Yazinduliwa…!

Na Rabi Hume KWA kutambua umuhimu wa elimu kwa watoto ambao ndiyo watakuja kuwa viongozi wa baadae nchini, programu mpya inayofahamika kama Fursa Kwa Watoto…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari