Na Mwandishi Wetu Namanga LICHA ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kutakiwa kulipa deni la sh. bilioni 94 kwa kampuni ya Dowans ambazo…
Continue Reading....Author: jomushi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein otembelea mashamba ya kilimo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akipewa maelezo kutoka kwa Ofisa Mdhamini Pemba wa Wizara ya Kilimo na Mifugo,…
Continue Reading....Mwananchi alipukiwa na bomu Lindi
Na Mwandishi Wetu Lindi MKAZI mmoja wa kijiji cha Kitumbikwera mkoani Lindi, Omari Said (29) amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Sokoine akiuguza majeraha aliyoyapata…
Continue Reading....Wanne wapandishwa kizimbani kwa dawa za kulevya
Na Mwandishi Wetu RAIA wanne wa mataifa tofauti, jana wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kosa la kula njama na kuingiza dawa…
Continue Reading....Kesi ya mwandishi ‘kuomba rushwa’ yaairishwa
Na Mwandishi Wetu KESI inayomkabili mwandishi wa habari ambaye ni mtangazaji wa Shirika la Utangazaji nchini (TBC1),Jerry Muro na wenzake imeshindwa kuendelea leo kutokana na…
Continue Reading....Dk. Shein: Serikali yangu itafanya mapinduzi ya kilimo
Mwandishi Wetu Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Awamu ya Saba imepanga kufanya Mapinduzi…
Continue Reading....