Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,289

Author: jomushi

Mbunge Nyangwine afichua ‘siri’ vurugu za Tarime

Posted on: May 20, 2011 - jomushi
Mbunge Nyangwine afichua ‘siri’ vurugu za Tarime

Na Joachim Mushi MBUNGE wa Tarime kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nyambari Nyangwine amesema walioshambulia msafara wake hivi karibuni wilayani Tarime ni kundi…

Continue Reading....

Mohammed Dewji ahaidi zawadi nono Simba

Posted on: May 20, 2011 - jomushi
Mohammed Dewji ahaidi zawadi nono Simba

Na Mwandishi wetu Mbunge Wa Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji Ameitakia Kila La Kheri Timu Ya Simba Katika Mchezo Wake Wa Kuwania Kufuzu Kwa Hatua…

Continue Reading....

Mauaji Tarime; LHRC wataka mgodi wa Barrick ufungwe

Posted on: May 20, 2011 - jomushi
Mauaji Tarime; LHRC wataka mgodi wa Barrick ufungwe

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC) kimeitaka Serikali kufunga uzalishaji katika mgodi wa Barrick hadi hapo ufumbuzi wa kudumu utakapopatikana juu ya…

Continue Reading....

Mauaji raia Tarime, Polisi waelemewa

Posted on: May 20, 2011 - jomushi
Mauaji raia Tarime, Polisi waelemewa

Na Joachim Mushi JESHI la Polisi nchini limekata tamaa kuendelea na juhudi za kuwashawishi ndungu wa marehemu wa miili iliyouwawa kwa risasi baada ya kundi…

Continue Reading....

M/Kiti Halmashauri Rungwe auwawa kwa risasi

Posted on: May 20, 2011 - jomushi
M/Kiti Halmashauri Rungwe auwawa kwa risasi

Na Dotto Mwaibale Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya (CCM), ambaye ni diwani wa Kata ya Kiwira, John Mwankenja, ameuawa kwa kupigwa…

Continue Reading....

Dowans yauzwa kwa Wamarekani

Posted on: May 20, 2011 - jomushi
Dowans yauzwa kwa Wamarekani

Na Joachim Mushi HATIMAYE kampuni ya kuzalisha umeme ya Symbion ya nchini Marekani imetamka rasmi kuwa tayari imenunua mitambo ya kufua umeme ya kampuni ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari