Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,280

Author: jomushi

Siku Deogratius Temba alipofunga ndoa na Sylivia

Posted on: May 29, 2011 - jomushi
Siku Deogratius Temba alipofunga ndoa na Sylivia

MAI 21, 2011 itabaki kuwa kumbukumbu ya milele kwa mwanahabari Deogratius Temba mkewe Sylvia Rwanyamva baada ya kufunga pingu za maisha. Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa Katoliki la Chuo…

Continue Reading....

Basi la Sumry laua 13 kwenye ajali Mbeya

Posted on: May 28, 2011May 28, 2011 - jomushi
Basi la Sumry laua 13 kwenye ajali Mbeya

Na Ezekiel Kamanga, Mbeya AJALI mbaya ya basi la kampuni ya Sumry lililokuwa linatoa huduma ya usafiri kutoka Arusha kuelekea mkoani Mbeya iliyotokea eneo la…

Continue Reading....

PINDA: TUNAHITAJI KUBAINI KILIMO CHA UMWAGILIAJI KINACHOTUFAA

Posted on: May 28, 2011May 28, 2011 - jomushi
PINDA: TUNAHITAJI KUBAINI KILIMO CHA UMWAGILIAJI KINACHOTUFAA

Na Irene Bwire WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema kilimo cha umwagiliaji kitainua uzalishaji wa chakula nchini lakini inabidi Serikali ijipange kubaini ni aina gani ya…

Continue Reading....

Mke wa Waziri Mkuu India aipa WAMA mil. 15

Posted on: May 28, 2011 - jomushi
Mke wa Waziri Mkuu India aipa WAMA mil. 15

Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Waziri Mkuu wa India, Mama Gursharan Kaur ametoa msaada wa sh. milioni 15 kwa Taasisi ya Wanawake na…

Continue Reading....

India yaahidi kuisaidia Tanzania teknolojia

Posted on: May 28, 2011 - jomushi
India yaahidi kuisaidia Tanzania teknolojia

Na Joseph Ishengoma – MAELEZO SERIKALI ya India imeahidi kuisaidia Tanzania katika nyanja ya teknolojia ili kuongeza uzalishaji katika mazao ya kilimo. aidha, India imekubali…

Continue Reading....

Madiwani Dodoma wataka kujiondoa NHIF

Posted on: May 27, 2011 - jomushi
Madiwani Dodoma wataka kujiondoa NHIF

Na Joyce Kassiki Dodoma BAADHI ya madiwani wa Halmashauri ya Kongwa wametishia kujiondoa kwenye mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa baada ya kutoridhishwa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari