Author: jomushi
Nauli za Usafiri wa Ndege Sasa Kushuka
IMEELEZWA kuwa gharama kubwa za usafiri wa anga nchini zitapungua pale Serikali itakapoliwezesha Shirika la ndege Tanzania (ATCL), kuwa na ndege zake. Akizungumza mara…
Continue Reading....StarTimes Kurusha Michuano ya Copa America…!
Wateja wakinunua ving’amuzi vya StarTimes kwa bei ya shilingi 22,000/- vilivyounganishwa na ofa ya kifurushi cha Mambo chenye chaneli za Sports Focus na World Football…
Continue Reading....Waziri Prof Mbarawa Azipiga Biti Kampuni za Simu…!
WAZIRI wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ametoa mwezi mmoja kwa kampuni za simu nchini zilizoingia makubaliano na Serikali kupeleka huduma ya mawasiliano…
Continue Reading....Msaada Wasomaji; Mtoto Daniel Amepotea…!
Kijana Daniel ambae anatafutwa na wazazi wake amepotea tangia jana huku juhudi kubwa ya kumtafuta inayofanywa na wazazi, ndugu zake zikiwa bado hazijafanikiwa. Mara ya…
Continue Reading....