Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,270

Author: jomushi

Vikongwe wafunga ndoa mkoani Rukwa

Posted on: June 19, 2011 - jomushi
Vikongwe wafunga ndoa mkoani Rukwa

WAZEE wawili wakazi wa mji wa Namanyere wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wameandika historia ya pekee kwa kufunga ndoa wakiwa na umri mkubwa isivyo kawaida. Wazee…

Continue Reading....

Rais Kikwete haudhuria mkutano wa biashara Malaysia

Posted on: June 19, 2011June 19, 2011 - jomushi
Rais Kikwete haudhuria mkutano wa biashara Malaysia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwasili mjini Kuala Lumpur, Malaysia leo, Juni 19, 2011 kuungana na viongozi wenzake kutoka nchi…

Continue Reading....

Mazembe waendelea kupigania rufaa, sasa kutua FIFA

Posted on: June 14, 2011June 14, 2011 - jomushi
Mazembe waendelea kupigania rufaa, sasa kutua FIFA

MABINGWA Watetezi wa Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika, TP Mazembe, kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imesema inatarajia kuwasilisha rufaa yake Shirikisho la Mchezo…

Continue Reading....

Harold Camping Stroke: Family Radio Preacher Who Predicted End Of World Hospitalized

Posted on: June 14, 2011June 14, 2011 - jomushi
Harold Camping Stroke: Family Radio Preacher Who Predicted End Of World Hospitalized

The man who warned his followers that Judgment Day would come last May was hospitalized after he suffered a mild stroke. Staff at Harold Camping’s…

Continue Reading....

NCCR-Mageuzi watoa tuhuma zito bungeni

Posted on: June 13, 2011June 14, 2011 - jomushi
NCCR-Mageuzi watoa tuhuma zito bungeni

  Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma CHAMA cha NCCR Mageuzi kupitia mbunge wao wa Jimbo la Kigoma Kusini, David Kafulila kimetoa tuhuma nzito za rushwa…

Continue Reading....

FFU Dodoma wapambana na wanafunzi UDOM

Posted on: June 13, 2011June 14, 2011 - jomushi
FFU Dodoma wapambana na wanafunzi UDOM

Na Mwandishi wa Thehabari, Dodoma KIKOSI cha Kutuliza Ghasia (FFU) jana mjini hapa kililazimika kuwatawanya kwa mabomu ya machozi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari