Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikagua moja ya Banda la Mjasiliamali wakati alipotembelea Banda la benki ya…
Continue Reading....Author: jomushi
NSSF watwaa ushindi wa jumla maonesho ya Saba Saba
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ramadhan Dau akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa NSSF, wakifurahia kwa pamoja na tuzo yao mara baada ya kukabidhiwa na Makamu…
Continue Reading....Dk. Bilal: Tanzania ni tajiri sema haijatumia fursa zilizopo
Na Joachim Mushi SERIKALI imesema licha ya Tanzania kuwa na rasilimali nyingi zaidi, utajiri mkubwa na mazao na bidhaa mbalimbali ambazo zina soko nchi za…
Continue Reading....Kikwete: Hatuwezi kuingilia masuala ya ndani ya nchi jirani
Malabo, Equatorial Guinea RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesisitiza kuwa kamwe Tanzania haitaingilia masuala ya ndani ya nchi yoyote…
Continue Reading....Kikwete akumbushia chenji ya Tanzania Equatorial Guinea
RAIS wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Kikwete na Waziri wa Misaada ya Kimataifa ya Maendeleo wa Uingereza, Mheshimiwa Andrew Mitchel wamezungumza kuhusu fedha ambazo Tanzania inadai…
Continue Reading....India mbioni kudhibiti idadi ya watu
MPANGO huo mpya wa uzazi unanuia kuwashawishi wanawake na wanaume kukubali njia ya kumaliza kabisa nguvu za mayai ya uzazi. Wanaokubali watapokea zawadi ya gari…
Continue Reading....