SERIKALI imeahidi kuendelea kuijengea uwezo Taasisi ya Taaluma za Wanyamapori iliyopo Pasiansi jijini Mwanza, ili kukabiliana na matukio ya ujangili ambayo yametikisa nchi miaka ya karibuni. Akizungumza na wanahabari…
Continue Reading....Author: jomushi
Mashindano ya Kuhifadhi Quraan Zanzibar Yafanyika…!
Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar wakifuatilia mashindano hayo yanayofanyika katika Masjid Loota Kiembesamaki Zanzibar na kuwashirikisha Vijana wa Umri mbali. Viongozi wa Kamati…
Continue Reading....Mradi wa Maji Pangani Kunufaisha Wakazi 4009 Boza Kimang’a
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella katikati akipata maelezo ya mradi wa maji Boza-Kimang’a kutoka kwa Mhandisi wa Maji Wilaya ya Pangani, Mohamed Seif wakati alipofanya…
Continue Reading....UNDP Yawezesha Maandalizi Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu
MAANDALIZI ya Ripoti ya pili ya Maendeleo ya Binadamu (THDR) inayotarajiwa kuzinduliwa Juni 2017 yamefikia katika ngazi ya mwisho ya ukusanyaji wa maoni ya…
Continue Reading....NSSF Yatoa Elimu kwa Umma Kuhusu Mafao na Huduma Mwanza
Baadhi ya wananchi wakisubiri kujiandikisha uanachama wakati wa zoezi maalumu la utoaji elimu kwa umma kuhusu mafao na huduma mbalimbali za NSSF, ambapo zoezi…
Continue Reading....Wanawake Kanisa la Moravian Mtoni Kijichi Kujiombea…!
Na Dotto Mwaibale, Dar WANAWAKE wa Kanisa la Moravian Usharika wa Mtoni Kijichi wanarajia kufanya maombi makubwa kwa ajili ya wanawake nchini, familia zao…
Continue Reading....