Author: jomushi
CCM Yamjibu Mch Gwajima, Yamwita Mzushi Mchonganishi…!
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetoa kauli kwa umma kufuatia maneno aliyoyatoa Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima akikiponda chama hicho na viongozi…
Continue Reading....Jukwaa la Katiba Lataka Mchakato wa Katiba Mpya Ufufuke…!
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limeitaka Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais Dk John Pombe Magufuli kufufua mchakato wa Katiba Mpya ambao limedai…
Continue Reading....Serikali Yasitisha Matumizi ya Daraja la Mbaka, Kibhundughulu
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi Makalla mwenye miwani akitizama maendeleo ya ujenzi wa daraja Mbaka katika kijiji cha Kibhundughulu wilayani Rungwe Mkoani Mbeya…
Continue Reading....Profesa Mbarawa Azungumza na Bodi ya Bandari Kiteknolojia
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka Bodi mpya ya Usimamizi wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), kuanza kazi mara moja kwa…
Continue Reading....Tigo Yachangia Dola za Kimarekani 12,000 Kituo cha Watoto
KAPUNI ya Tigo Tanzania imeshiriki katika kumbukumbu ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2016 kwa kuchangia zaidi ya shilingi 26.4m/-($12,000) kwa asasi isiyo ya kiserikali ya C-Sema ambayo…
Continue Reading....