Wizara wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akiwa na Kikundi cha Sanaa za Maonesho Tanzania (KISAMATA) cha jijini Dar es Salaam…
Continue Reading....Author: jomushi
Dk. Kawambwa awaonya wamiliki vyuo vya uwalimu
Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dodoma WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Jumanne Kawambwa amewaonya wamiliki wa vyuo vya ualimu binafsi kuacha kuwadanganya vijana waliomaliza…
Continue Reading....Mama Pinda awataka wanawake kuwaombea viongozi Tanzania
MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda amesema wanawake wa Tanzania bila kujali itikadi, rangi wala dini zao, hawana budi kuungana na kuwaombea viongozi wote…
Continue Reading....Dk. Kawambwa: Idadi ya wasomi imeongezeka
Na Tiganya Vincent, MAELEZ0-Dodoma WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Jumanne Kawambwa amesema katika kipindhi cha miaka mitano ya uongozi wa Serikali ya…
Continue Reading....WALIONUFAIKA NA MRADI WA WEZA, WAPATA MWAMKO WA KUDAI HAKI
Na Mwandishi Wetu JUMLA ya kesi 42 za ukatili dhidi ya wanawake vijijini huko Kusini Unguja na kaskazini Pemba zimefikishwa katika vyombo vya sheria. Kesi…
Continue Reading....Wakulima watakiwa kuzingatia ushauri wa wataalam
Na Janeth Mushi, Arusha WAFUGAJI na wakulima nchini wametakiwa kufufanya shughuli zao kwa kufuata ushauri wanaopatiwa na wataalamu ili kuongeza uzalishaji pamoja na ubora wa…
Continue Reading....