Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,204

Author: jomushi

Dk. Shein awataka wananchi kuwafichua wanaofanya magendo ya karafuu

Posted on: August 14, 2011 - jomushi
Dk. Shein awataka wananchi kuwafichua wanaofanya magendo ya karafuu

Na Rajab Mkasaba, Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi Pemba kushirikiana na serikali kupambana na…

Continue Reading....

Washukiwa wa machafuko ya London kufikishwa mahakamani leo

Posted on: August 14, 2011August 14, 2011 - jomushi
Washukiwa wa machafuko ya London kufikishwa mahakamani leo

Ni washukiwa wa kwanza kushtakiwa kwa vifo vilivyotokea wakati wa machafuko ya jijini London. Watu jumla ya watano walikufa kwenye machafuko yaliyoanza Jumamosi iliyopita. Mwanamume…

Continue Reading....

Newcastle, Arsenal watoka sare, Bolton yauwa, Leverpool yakwama

Posted on: August 14, 2011August 14, 2011 - jomushi
Newcastle, Arsenal watoka sare, Bolton yauwa, Leverpool yakwama

NEWCASTLE imetoka sare ya 0-0 na Arsenal katika mchezo uliokuwa na kasoro za hapa na pale. Katika mchezo huo mshambuliaji wa Arsenal kutoka Ivory Coast,…

Continue Reading....

Waziri Ngeleja ‘apona’, bajeti yake yapitishwa

Posted on: August 14, 2011 - jomushi
Waziri Ngeleja ‘apona’, bajeti yake yapitishwa

Na Mwandishi Wetu, Dodoma. HATIMAYE Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini baada ya kuifanyia marekebisho na kuwasilisha mpango wa dharura wa kuondoa…

Continue Reading....

Kikwete: Hakuna Mtanzania ataekufa kwa njaa

Posted on: August 13, 2011 - jomushi
Kikwete: Hakuna Mtanzania ataekufa kwa njaa

Na Mwandishi Maalumu, Shinyanga RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amewataka wakuu wa wilaya nchini kwa maeneo yanayoonesha dalili za uhaba wa chakula kutoa taarifa haraka…

Continue Reading....

MUVI kufunga mashine ya kusindika mhogo kijijini Kilosa

Posted on: August 13, 2011 - jomushi
MUVI kufunga mashine ya kusindika mhogo kijijini Kilosa

Na Mwandishi Wetu, Mbinga UONGOZI wa Muunganisho wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) umekagua jengo ambalo umepanga kuweka mashine ya usindikaji wa zao la mhogo, wilayani Mbinga…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari