Waziri Prof Mbarawa Akagua Ukarabati Vivuko Dar, Kukamilika Agosti…! WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amekagua ukarabati na Ujenzi wa Vivuko vya…
Continue Reading....Author: jomushi
Wakimbizi Wanajeshi Watakiwa Kujisalimisha Kigoma…!
SERIKALI ya Tanzania imewataka wakimbizi wote ambao walikuwa wanajeshi kutoka nchi walizokuwepo, kuripoti kwenye mamlaka husika ili waweze kupewa uangalizi maalum (special protection) kama wanajeshi. Kauli…
Continue Reading....Noah Yagonga Daladala Kitunda, Wawili Wajeruhiwa…!
Noah hiyo ikiwa kwenye mtaro baada ya kutokea ajali hiyo. Daladala lililogongana na Noah hiyo likiwa eneo la tukio. Wananchi wakiwa eneo la ajali hiyo.
Continue Reading....Serikali Yazuia Matumizi Mabaya ya Vyandarua Nchini
Na Ally Daud – Maelezo SERIKALI imetoa wito kwa wananchi kuacha matumizi mabaya ya vyandarua ili kusaidia jitihada za Serikali katika kupambana na ugonjwa wa…
Continue Reading....Tanzania Yatajwa Kama nchi Hatari kwa Albino
NCHI ya Tanzania imetajwa kati ya nchi zinazoongoza kwa unyanyasaji kwa watu wenye Ualbino licha ya uwepo wa juhudi za Serikali ikizifanya kuhakikisha…
Continue Reading....Maalim Seif Hamad Ahitimisha Ziara Marekani, Aelekea Canada.
Na Mwandishi Wetu Washington MAKAMU wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar na Katibu mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, jana alimaliza…
Continue Reading....