Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,187

Author: jomushi

Viongozi Chadema wafikishwa mahakamani kwa ujambazi

Posted on: August 25, 2011 - jomushi
Viongozi Chadema wafikishwa mahakamani kwa ujambazi

Na Janeth Mushi, Arusha KATIBU wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Wilaya ya Arusha, Anold Kamdye na aliyekuwa Katibu wa…

Continue Reading....

Utumishi Zanzibar wamuunga mkono Dk Shein

Posted on: August 25, 2011 - jomushi
Utumishi Zanzibar wamuunga mkono Dk Shein

Na Rajab Mkasaba, Zanzibar WIZARA ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imeahidi kuunga mkono juhudi na bidii anazochukua Rais wa…

Continue Reading....

Wajasiriamali Tanga watakiwa kuungana

Posted on: August 25, 2011 - jomushi
Wajasiriamali Tanga watakiwa kuungana

Na Mwandishi Wetu, Tanga WAJASIRIAMALI mkoani Tanga wametakiwa kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mradi wa Muunganisho Ujasiriamali Vijijini (MUVI) ili kufanikisha lengo la kuunganisha nguvu…

Continue Reading....

Angela Merkel ni mwanamke mwenye nguvu duniani

Posted on: August 25, 2011August 25, 2011 - jomushi
Angela Merkel ni mwanamke mwenye nguvu duniani

JARIDA la Forbes limemtaja Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kuwa mwanamke mwenye nguvu kubwa duniani. Jarida hilo limemuelezea Bi. Merkel kuwa kiongozi asiyetiliwa shaka wa…

Continue Reading....

Watu 7 wauwawa Syria, ukandamizaji raia waendelea

Posted on: August 25, 2011August 25, 2011 - jomushi
Watu 7 wauwawa Syria, ukandamizaji raia waendelea

WANAHARAKATI wa kutetea haki za binadamu nchini Syria wanasema maofisa wa vikosi vya usalama wamewaua watu saba, akiwemo mwanamke mmoja aliyekufa kutokana na mateso. Watu…

Continue Reading....

Umoja wa Ulaya kuisaidia Libya matibabu

Posted on: August 25, 2011August 25, 2011 - jomushi
Umoja wa Ulaya kuisaidia Libya matibabu

UMOJA wa Ulaya umesema uko tayari kupeleka msaada wa matibabu nchini Libya. Utapeleka mahitaji yanayotakika kwa dharura katika hospitali nchini humo, kuwasaidia raia wengi waliojeruhiwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari