Na John Mnyika TOKA mjadala almaarufu kama wa “Jairo” uanze nimekuwa kimya bila kutoa maoni yoyote hadharani. Nilikuwa kimya kwa sababu kubwa mbili; mosi, kwa…
Continue Reading....Author: jomushi
Waasi Libya wakataa mazungumzo
WAPIGANAJI wa Libya wanasema hawataki kufanya majadiliano na Kanali Gaddafi, baada ya pendekezo hilo kutolewa na msemaji wa kanali. Na wapiganaji wa Libya piya wamesema…
Continue Reading....Ndege za Nato zalenga handaki la Gaddafi
WIZARA ya Ulinzi ya Uingereza imesema, ndege za kijeshi za Uingereza zimerusha mabomu kwenye handaki kubwa lililopo Sirte mji alipozaliwa Kanali Muammar Gaddafi. Ndege hizo…
Continue Reading....Mama Salma ataka wanawake wajasiriamali wasaidiwe
Na Anna Nkinda – Maelezo WADAU wa maendeleo nchini wametakiwa kuwasaidia wanawake wajasiriamali kwa kuwapa fursa zilizopo ndani ya uwezo wao kwani wanawake hao huzalisha…
Continue Reading....Mama Pinda atoa zawadi ya Idd kwa yatima Dodoma
MKE wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda ametoa zawadi ya Idd kwa vituo viwili vya Rahman Orphanage Centre na Kituo cha Huduma ya Neema na…
Continue Reading....‘Acheni kusambaza Ukimwi’
Na Mwandishi Wetu, Makete WATUMISHI wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete ambao wanajijua wameambukizwa Ukimwi wameshauriwa kuacha kusambaza ugonjwa huo kwa wengine. Sambamba na mwito…
Continue Reading....