Author: jomushi
Twanga Pepeta yakonga mashabiki Mango Garden
BENDI maarufu ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta jana iliwaburudisha wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo katika onesho lililofanyika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni…
Continue Reading....Tevez asema ataheshimu mkataba Man City
CARLOS Tevez amekiri itakuwa “vigumu” kuondoka Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili msimu huu. Tevez alikuwa na matumaini angeondoka katika klabu hiyo…
Continue Reading....Makamu wa Rais mgeni rasmi Swala ya Eid el Fitr Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kulia) Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi…
Continue Reading....Uadilifu unajenga imani za Wananchi-Dk Shein
Na Rajab Mkasaba, Ikulu-Zanzibar UADILIFU unasaidia kujenga imani za wananchi kwa viongozi wao na watumishi wa umma na kuwafanya wananchi wawe tayari kutoa ushirikiano wao…
Continue Reading....Swala ya Idd jijini Dar es Salaam leo
Baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam wakiswali swala ya Idd. Waislamu wote leo wameungana na Waislamu…
Continue Reading....