Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,172

Author: jomushi

Hatma kesi ya Lema kujulikana Septemba 26, 2011

Posted on: September 7, 2011 - jomushi
Hatma kesi ya Lema kujulikana Septemba 26, 2011

Na Janeth Mushi, Arusha MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha Septemba 26 mwaka huu inatarajia kutoa uamuzi wa kutupilia mbali ama kuendelea kusikiliza kesi ya kupinga…

Continue Reading....

JK kufungua mkutano wa Bodi ya Magavana Afrika

Posted on: September 7, 2011 - jomushi
JK kufungua mkutano wa Bodi ya Magavana Afrika

Na Janeth Mushi, Arusha RAIS wa Tanzania Jakaya Kikwete kesho anatarajiwa kufungua Mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana wa Afrika (ACBF), unaoshirikisha viongozi waandamizi…

Continue Reading....

African Barrick Gold launches Maendeleo Fund to strengthen community investment in Tanzania

Posted on: September 7, 2011 - jomushi
African Barrick Gold launches Maendeleo Fund to strengthen community investment in Tanzania

*Creation of the largest corporate community development fund in Tanzania *Annual budget commitment of $10 million AFRICAN Barrick Gold (ABG) today announces the launch of…

Continue Reading....

Polisi Madawa ya Kulevya wakamata mzigo mkubwa Dar

Posted on: September 7, 2011September 7, 2011 - jomushi
Polisi Madawa ya Kulevya wakamata mzigo mkubwa Dar

Na Joachim Mushi JESHI la Polisi nchini Tanzania, Kitengo cha Kupambana na Dawa za Kulevya limekamata mzigo mkubwa wa dawa za kulevya ambao unahisiwa ulikuwa…

Continue Reading....

Mahusiano yabadili jina la mtaa Dar es Salaam

Posted on: September 7, 2011 - jomushi
Mahusiano yabadili jina la mtaa Dar es Salaam

*Ni ule wa Garden sasa kuitwa Hamburg Benjamin Sawe, Maelezo-Dar es Salaam BARAZA la Madiwani jijini Dar es Salaam limeazimia na kukubaliana kuuita mtaa wa…

Continue Reading....

Kesi ya Lema yafikia patamu, Jaji ‘awatega’ walalamikaji!

Posted on: September 6, 2011 - jomushi
Kesi ya Lema yafikia patamu, Jaji ‘awatega’ walalamikaji!

Na Mwandishi Wetu, Arusha KESI iliyofunguliwa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha na baadhi ya wanachama wa CCM wakipinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Ubunge Jimbo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari