Author: jomushi
Kufuatia msiba Zanzibar, Kikwete atangaza maombolezo siku 3, akatiza ziara ya Canada na kutembelea majeruhi, aagiza uchunguzi ufanywe
Na Mwandishi Maalumu KUFUATIA msiba mkubwa uliotokana na ajali ya kuzama kwa meli ya Spice Islander katika bahari ya Hindi usiku wa kuamkia leo, Jumamosi,…
Continue Reading....Ajali ya meli Zanzibar; Dk. Shein atangaza msiba wa Taifa, abiria 192 wamekufa, 630 waokolewa
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed shein amesema jumla ya watu 106 hadi sasa wamethibitika…
Continue Reading....Arsene Wenger akiri usajili ulimsumbua
ARSENE Wenger amesema alitaabika sana wakati wa msimu huu wa usajili na kuuelezea kuwa ni “usajili ulionisumbua ambao haujawahi kutokea tangu niwasili hapa”. Gunners ilimuuza…
Continue Reading....JK atuma rambirambi vifo vya wananchi katika ajali ya meli Zanzibar
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,…
Continue Reading....Ajali ya meli Zanzibar: 163 wahofiwa kufa
WATU wasiopungua 163 wamekufa baada ya meli iliyokuwa imejaa watu na mizigo kuzama katika pwani ya kisiwa cha Unguja. Inadhaniwa kuwa zaidi ya watu 500…
Continue Reading....