Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,163

Author: jomushi

Salamu za rambirambi kutoka mtandao wa Hakielimu

Posted on: September 12, 2011September 12, 2011 - jomushi
Salamu za rambirambi kutoka mtandao wa Hakielimu

Tunatoa pole kwa Watanzania wote kwa msiba uliotakana na ajali ya meli huko Tanzania visiwani. Mwenyezi Mungu awalaze ndugu zetu wote waliotangulia mbele za haki,…

Continue Reading....

Salam za Rambirambi kutoka Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU)

Posted on: September 12, 2011September 12, 2011 - jomushi
Salam za Rambirambi kutoka  Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU)

WATANZANIA tunaoishi ujerumani tumesikitishwa sana na habari mbaya ya ajali ya meli iliyotokea 10.09.11 katika bahari ya hindi katikati ya visiwa vya Pemba na Unguja…

Continue Reading....

Pinda azindua Tawi la Benki ya CRDB Mpanda

Posted on: September 11, 2011 - jomushi
Pinda azindua Tawi la Benki ya CRDB Mpanda

Na Mwandishi Wetu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza kuwa uwekezaji katika wilaya ya Mpanda na Mkoa mzima wa Rukwa ni wa lazima na hauwezi kuepukika…

Continue Reading....

JK atoa milioni 300 ajali ya Meli Zanzibar

Posted on: September 11, 2011 - jomushi
JK atoa milioni 300 ajali ya Meli Zanzibar

Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kiasi cha sh. milioni 300 zitakazotumika katika shughuli zima ya uokoaji pamoja na kusaidia…

Continue Reading....

Salamu za rambirambi toka kwa wasomaji wa mtandao wa dev.kisakuzi.com kuhusiana na ajali ya Meli Zanzibar

Posted on: September 11, 2011 - jomushi
Salamu za rambirambi toka kwa wasomaji wa mtandao wa dev.kisakuzi.com kuhusiana na ajali ya Meli Zanzibar

Zifuatazo ni salamu mbalimbali za rambirambi na maoni kwa Serikali, ndugu, jamaa na marafiki kutoka kwa wasomaji wa dev.kisakuzi.com na wadau anuai kuhusiana na ajali…

Continue Reading....

TFF yafanya marekebisho tena mechi za Taifa

Posted on: September 11, 2011 - jomushi
TFF yafanya marekebisho tena mechi za Taifa

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzabia (TFF), ilimefanya marekebisho kwa mechi za Uwanja wa Taifa ili kutekeleza maagizo ya Serikali kucheza mechi mbili tu za…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari