*Asifu juhudi za Serikali kuleta maendeleo WAZIRI MKUU Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Warioba amesifu jitihada zilizofanywa na Serikali katika kuleta maendeleo nchini lakini amewaonya Watanzania…
Continue Reading....Author: jomushi
Jaji Warioba ataka vyama vya siasa vijifunze kushindana
*Asema kila awamu ilikuwa na matatizo yake WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema vyama vya siasa nchini havina budi kujifunza kushindanisha sera na kuimarisha…
Continue Reading....Wanakijiji cha Mwanadilatu walalamikia uchimbaji mchanga
Na Joachim Mushi WANANCHI kutoka kijiji cha Mwanadilatu wamelalamikia kitendo cha uharibifu wa mazingira kinachofanywa na baadhi ya watu wanaochimba mchanga maeneo mbalimbali kijijini hapo.…
Continue Reading....Raia wa Liberia wajitokeza kupiga kura
RAIA wa Liberia jana wameshiriki katika uchaguzi wa pili tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo miaka minane iliopita. Shughuli ya kupiga…
Continue Reading....Kauli ya UVCCM yaleta ‘utata’ CCM Arusha
Na Janeth Mushi, Arusha KAULI iliyotolewa na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) imeibua mjadala baada ya Katibu wa Chama Cha Mapinduzi, Mkoa…
Continue Reading....‘Maendeleo ya nchi hutegemea elimu ya Wananchi’
Rajab Mkasaba, Ikulu-Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema maendeleo yoyote ya nchi yanategemea elimu pamoja na…
Continue Reading....