Na Joachim Mushi MBUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Simanjiro, Christopher ole Sendeka amesema CCM isingoje kuwajibishwa na Wananchi bali ihakikishe inawang’oa mafisadi…
Continue Reading....Author: jomushi
Mbio za Mwenge kuzindua miradi ya bil. 1.7 Arusha
Na Janeth Mushi, Arusha MIRADI 11 ya Maendeleo yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 1.7 ambayo imegharamiwa na Serikali Kuu, kwa kushirikiana na halmashauri,…
Continue Reading....Kumbukizi ya miaka 12 ya kifo cha Nyerere
LEO Watanzania wanaadhimisha miaka 12 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyefariki tarehe kama ya leo mwaka 1999. Nyerere ambaye alikuwa muhimili…
Continue Reading....Polisi wasaka madaktari waliotekwa Kenya
POLISI wakitumia helikopta na magari wanawasaka watu wenye silaha waliowateka nyara madaktari wawili wa Uhispania wanaofanya kazi na shirika la misaada la Medicins Sans Frontiers…
Continue Reading....Kikwete ashiriki mazishi ya Mwanahabari Penza
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Oktoba 13, 2011 aliungana na waombolezaji kumzika mwanahabari mkongwe, Juma Fugame Penza katika makaburi ya Kisutu,…
Continue Reading....Ikulu yakanusha JK kutoa msamaa wa vifo
*Ni kwa wanaodaiwa kumuua Lut. Generali Kombe Na Mwandishi Wetu GAZETI la Mwananchi, matoleo ya Jumatano, Oktoba 12 na Oktoba 13, 2011, limeandika habari zilizodai…
Continue Reading....