Vyama ninane vya upinzani, vikiwemo viwili ambavyo ni wapinzani wakuu wa Rais Ellen Johnson-Sirleaf vimesema kuwa vitayakataa matokeo ya uchaguzi wa urais uliyofanyika wiki hii…
Continue Reading....Author: jomushi
Man United yang’ang’aniza sare na Liverpool
Javier Hernandez aliisawazishia Manchester United zikiwa zimesalia dakika tisa kabla mchezo haujamalizika na kuisaidia timu yake kuambulia angalao pointi moja katika pambano kali dhidi ya…
Continue Reading....Aston Villa yaipeleka Man City Kileleni
Manchester City imetumia mwanya wa Man United kuteleza kwa kwenda kileleni baada ya kuizaba Aston Villa 4-1. Kipa wa Man City, Joe Hart aliokoa mkwaju…
Continue Reading....Wanakijiji Hanga waacha kuzalisha tumbaku, sasa walima alizeti na mhogo
MUUNGANISHO wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI), Ruvuma umefanikiwa kuwavutia zaidi wajasiriamali wa zao la alizeti na mhogo katika Kijiji cha Hanga kilichopo Wilaya ya Namtumbo Mkoa…
Continue Reading....Dar es Salaam Bloggers’ Circle Meeting
Dear Dar Es Salaam Bloggers, Dar es Salaam Bloggers’ Circle would like to invite you to a group meeting at 6:30 p.m. on Wednesday, October…
Continue Reading....