Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,118

Author: jomushi

SAFA yaomba radhi na kuondoa rufaa CAF

Posted on: October 20, 2011 - jomushi
SAFA yaomba radhi na kuondoa rufaa CAF

CHAMA cha Soka cha Afrika Kusini (Safa) kimefuta rufaa yake iliyokuwa na utata kwa Shirikisho la Soka la Afrika Caf kuhusiana na utaratibu wa kufuzu…

Continue Reading....

Serikali ya Ugiriki kupunguza matumizi

Posted on: October 20, 2011 - jomushi
Serikali ya Ugiriki kupunguza matumizi

BUNGE la Ugiriki limeidhinisha mpango mpya wa serikali ya nchi hiyo wa kupunguza matumizi yake ili kukabiliana na mzozo wa madeni unaokumba taifa hilo. Kura…

Continue Reading....

Mama Salma awataka Watanzania kuchapa kazi kwa bidii

Posted on: October 20, 2011October 20, 2011 - jomushi
Mama Salma awataka Watanzania kuchapa kazi kwa bidii

Na Anna Nkinda – Maelezo WATANZANIA wametakiwa kujenga tabia ya kujitolea kufanya kazi kwa moyo na kushiriki katika shughuli za kujiongezea kipato kwa lengo la…

Continue Reading....

Waandaji wa “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge” watangaza njia

Posted on: October 20, 2011 - jomushi
Waandaji wa “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge” watangaza njia

*Ni zile zitakazotumika kwenye mashindano hayo VODACOM Tanzania ambao ni waandaaji wa mbio za baiskeli zijulikanazo kama “Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge” wametangaza njia (route)…

Continue Reading....

Uingereza yaionya Algeria

Posted on: October 20, 2011 - jomushi
Uingereza yaionya Algeria

WAZIRI wa mambo ya nje wa Uingereza , William Hague, ameitaka Algeria iheshimu sheria ya kimataifa kwa kuwakabidhi watoro wa vita nchini Libya. Mke wa…

Continue Reading....

Kenya na harakati za kiusalama

Posted on: October 20, 2011October 20, 2011 - jomushi
Kenya na harakati za kiusalama

KENYA inapanga kuanzisha harakati za kiusalama ndani ya nchi dhidi ya washirika wa kundi la wapiganaji wa Al Shabaab. Kulingana na naibu waziri wa mambo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari