TETEMEKO la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha 7.3 cha Richter mashariki mwa Uturuki leo limeua kati ya watu 500 hadi elfu moja. Profesa, Mustafa…
Continue Reading....Author: jomushi
Man United chali, yapigwa 6-1 kwao
MANCHESTER City imeizaba Manchester United 6-1 kwenye uwanja wa Old Trafford. Kinyume na matarajio ya Wengi, Man United walishindwa kabisa kuhimili vishindo vya majirani zao…
Continue Reading....Chelsea nayo hola kwa QPR
Chelsea imebanwa na QPR na kuchapwa 1-0 katika mchezo uliojaa vuta nikuvute na kadi nyingi. Bao hilo pekee la QPR limefungwa na Heidar Helgoson katika…
Continue Reading....Watu 13 wajeruhiwa shambulio mjini Nairobi
SHAMBULIO la guruneti katika Mji Mkuu wa Kenya, Nairobi, limesababisha watu 13 kujeruhiwa huku mmoja kati yao kujeruhiwa vibaya kufuatia shambulio hilo. Taarifa za awali…
Continue Reading....Odinga: Kenya kuandaa Kombe la Dunia
WAZIRI Mkuu wa Kenya amesema nchi hiyo inaweza kuandaa mashindano ya kandanda ya Kombe la Dunia hivi karibuni. Taarifa zinasema, Raila Odinga anataka nchi hiyo…
Continue Reading....Uchaguzi huru wafanywa Tunisia
WANANCHI wa Tunisia wanapiga kura leo kuchagua bunge litalotayarisha katiba mpya na kumteua rais wa muda. Taarifa zinazohusianaAfrika, Siasa Tunisia ilikuwa ya mwanzo kuanza ghasia…
Continue Reading....