MATOKEO ya uchaguzi wa Jumapili yamezua rabsha Makabiliano makali yamezuka kati ya Polisi na waandamanaji nchini Tunisia katika mji wa kati ya nchi wa Sidi…
Continue Reading....Author: jomushi
Kenya ‘yashambuliwa’ tena, wanne wauwawa
WATU wenye silaha nchini Kenya wameshambulia lori la mizigo karibu na mpaka na Somalia, na kuua watu wasiopungua wanne. Taarifa zinasema gari hilo lilikuwa limebeba…
Continue Reading....Anglo Gold Ashanti kulipa kodi ya bil 86 Tz
SERA sahihi za Serikali za kuyataka makampuni ya madini nchini kuanza kulipa kodi ya mapato zimeanza kuzaa matunda baada ya Kampuni ya Anglo-Gold Ashanti kutangaza…
Continue Reading....Wingi wa wasikilizaji wakwamisha kesi ya Lema
Na Mwandishi Wetu, Arusha MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha, leo imeshindwa tena kuanza kusikiliza kesi ya kupinga matokeo ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini,…
Continue Reading....Tupambane na uharibifu wa mazingira- Dk Shein
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema ipo haja ya kushirikiana katika kupambana…
Continue Reading....