Na Joachim Mushi KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) inayovuma kwa bia yake ya Tusker leo mchana huu imekabidhi hudi ya sh. milioni…
Continue Reading....Author: jomushi
Kenya yaionya Al-Shabaab kupitia Tweeter
MSEMAJI wa Jeshi la Kenya kwa kutumia Twitter ameonya wakazi wa miji 10 nchini Somalia kuwa “watashambuliwa vikali, mfululizo”. Msemaji huyo Meja Jenerali Emmanuel Chirchir,…
Continue Reading....Wanaharakati, viongozi wa dini: Wahofu Rais ajaye kuwa dikteta
WAUNGANA KUMDHIBITI VIONGOZI wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini na wanaharakati wameonya kuwa kuna kila dalili kwamba mtu atakayemrithi Rais Jakaya Kikwete atakuwa na hulka…
Continue Reading....Lema awaita wafuasi wa Chadema gerezani
MBUNGE wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema ambaye yuko mahabusu, amewataka wafuasi wa chama hicho kumtembelea gerezani kwa wingi leo ambayo ni siku ya kawaida…
Continue Reading....Ijue chai ya Kichina inayoondoa sumu mwilini
WATAALAMU wa masuala ya afya wanasema katika vyakula na vinywaji mbalimbali tunavyokula na kunywa kila siku vingi vina kiasi fulani cha sumu ambazo mara nyingine…
Continue Reading....TWB-Benki inayohimiza matumizi ya ‘vibubu’
Na Mwandishi Wetu BENKI ya Wanawake Tanzania (TWB) ni miongoni mwa Taasisi za kifedha zinazoshiriki Maonesho ya Wajasiriamali Wanawake yanayoendele katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.…
Continue Reading....