Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,086

Author: jomushi

Benki ya Posta yaisaidia JKT Ruvu

Posted on: November 8, 2011 - jomushi
Benki ya Posta yaisaidia JKT Ruvu

Na Joachim Mushi BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imetoa msaada wa jezi na viatu jozi 3º pamoja na fedha taslimu sh. milioni 2 kwa ajili…

Continue Reading....

Dk. wa Michael Jackson matatani

Posted on: November 7, 2011November 8, 2011 - jomushi
Dk. wa Michael Jackson matatani

DAKTARI binafsi wa Michael Jakson, Dk. Conrad Murray amekutwa na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia na Mahakama moja mjini Los Angeles, Marekani. Baraza…

Continue Reading....

Taifa Stars yaagwa rasmi, Pinda awapa zawadi nono!

Posted on: November 7, 2011 - jomushi
Taifa Stars yaagwa rasmi, Pinda awapa zawadi nono!

*Serengeti Breweries yazingua shamrashara za ushindi *TFF, BMT wawataka wachezaji kupigana kiume Na Joachim Mushi KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ jana…

Continue Reading....

Serengeti Breweries yazindua tangazo la kampeni ya ‘pamoja tutashinda’

Posted on: November 7, 2011November 7, 2011 - jomushi
Serengeti Breweries yazindua tangazo la kampeni ya ‘pamoja tutashinda’

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imefanya hafla fupi ya kuwaaga na kuwatakia kila la kheri wachezaji wa Taifa Stars kwa…

Continue Reading....

Chuo Kikuu Norway kusaidia sekta ya afya Zanzibar

Posted on: November 7, 2011 - jomushi
Chuo Kikuu Norway kusaidia sekta ya afya Zanzibar

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar UONGOZI wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukland kiliopo Norway umeahidi kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya ikiwa…

Continue Reading....

Sekondari ya Wama- Nakayama yasaidiwa vitabu 1,000

Posted on: November 7, 2011 - jomushi
Sekondari ya Wama- Nakayama yasaidiwa vitabu 1,000

Na Anna Nkinda – Maelezo SHULE ya Sekondari ya wasichana ya WAMA-NAKAYAMA iliyopo Rufiji mkoani Pwani imepokea msaada wa vitabu 1000 kutoka kwa Taasisi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari