Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,080

Author: jomushi

‘Magonjwa ya Polio, Surua kubaki historia Tanzania’

Posted on: November 13, 2011 - jomushi
‘Magonjwa ya Polio, Surua kubaki historia Tanzania’

Na Magreth Kinabo- MAELEZO, Arusha SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imesema itahakikisha magonjwa ya polio na surua na mengineyo ambayo yanaweza kukingwa kwa…

Continue Reading....

Clouds Media Group wachangia Damu Dar

Posted on: November 13, 2011November 13, 2011 - jomushi
Clouds Media Group wachangia Damu Dar

Na Mwandishi Wetu WAFANYAKAZI kutoka Kituo cha Clouds FM na Televisheni ya Clouds leo wamejumuika na baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam…

Continue Reading....

Makamau wa Rais Dk Bilal azindua Kampeni ya Chanjo ya Surua na Polio

Posted on: November 13, 2011November 13, 2011 - jomushi
Makamau wa Rais Dk Bilal azindua Kampeni ya Chanjo ya Surua na Polio

Continue Reading....

Serikali mpya nchini Ugiriki yaapishwa

Posted on: November 12, 2011November 12, 2011 - jomushi
Serikali mpya nchini Ugiriki yaapishwa

BARAZA jipya la mawaziri katika Serikali ya mpito limeapishwa likiongozwa na Waziri Mkuu mpya, Lucas Papademos. Waziri mkuu huyo aliyechaguliwa, alitangaza kuwa Serikali mpya itajitahidi…

Continue Reading....

Vurugu kubwa mkoani Mbeya

Posted on: November 12, 2011 - jomushi
Vurugu kubwa mkoani Mbeya

Polisi, Wamachinga wakabiliwa, Kandoro asema mapambano ni magumu JIJI la Mbeya jana liligeuka uwanja wa vita. Milio ya mabomu, risasi vilitawala sehemu kubwa ya jiji…

Continue Reading....

Stars yaizima Chad jijini N’Djamena

Posted on: November 12, 2011November 12, 2011 - jomushi
Stars yaizima Chad jijini N’Djamena

Na Mwandishi Wetu, N’Djamena-Chad KOCHA wa Taifa Stars, Jan Poulsen amepata ushindi wake wa kwanza ugenini tangu alipochukua timu hiyo kutoka kwa Mbrazil Marcio Maximo,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari