Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 208

Author: jomushi

Wananchi Kufanya Malipo ya Kodi za TRA Popote kwa NMB

Posted on: July 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
Wananchi Kufanya Malipo ya Kodi za TRA Popote kwa NMB

WANANCHI sasa wanaweza kulipa malipo ya kodi mbalimbali za Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa kutumia Benki ya NMB. Akizungumza na waandishi wa habari leo…

Continue Reading....

Eng. Nyamhanga Awataka Waliolipwa Fidia Kupisha Ujenzi Barabara ya Arusha Bypass

Posted on: July 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Sekta ya Ujenzi
Eng. Nyamhanga Awataka Waliolipwa Fidia Kupisha Ujenzi Barabara ya Arusha Bypass

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Ujenzi) Eng. Joseph Nyamhanga amewataka wakazi wa Arusha ambao wameshalipwa fidia kupisha ujenzi wa…

Continue Reading....

Naibu Waziri Luhaga Akagua Mazingira Kiwanda cha Bia Serengeti, SBL

Posted on: July 14, 2016 - jomushi
Naibu Waziri Luhaga Akagua Mazingira Kiwanda cha Bia Serengeti, SBL

   Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira , Luhaga Mpina akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Bi. Helene Weesie…

Continue Reading....

Wafanyakazi Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Acacia Kahama Wachangia Damu

Posted on: July 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Changia Damu
Wafanyakazi Kampuni ya Uchimbaji Dhahabu Acacia Kahama Wachangia Damu

  Kushoto ni Meneja Mkuu wa Mgodi wa Dhahabu wa North Mara,Sam Roesler na Mkuu wa Kitengo cha Utumishi Kampuni ya Acacia ofisi za London…

Continue Reading....

Tigo na Serikali Wakubaliana Kuunganisha Shule za Sekondari kwa Intaneti

Posted on: July 14, 2016 - jomushi
Post Tags: Sayansi na Teknolojia
Tigo na Serikali Wakubaliana Kuunganisha Shule za Sekondari kwa Intaneti

   Afisa Mkuu wa Kitengo cha Biashara kutoka Tigo, Shavkat Berdiev® na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Ujenzi na Miundombinu Pro. Faustine Kamuzora(L) wakisaini…

Continue Reading....

Bi. Theresa May Ndiye Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

Posted on: July 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Uingereza
Bi. Theresa May Ndiye Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

HATIMAYE mwana mama Theresa Mary May amechukua usukani na kuwa Waziri Mkuu wa taifa la Uingereza. Akizungumza baada ya kupokea ufunguo wa makao rasmi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari