Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,078

Author: jomushi

Tanzania mwenyeji Mkutano wa upimaji Ardhi na Ramani

Posted on: November 15, 2011November 15, 2011 - jomushi
Tanzania mwenyeji Mkutano wa upimaji Ardhi na Ramani

Na Anna Nkinda – Maelezo TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 45 wa upimaji ardhi na ramani ambao utawahusisha Makatibu Wakuu wanaofanya kazi katika…

Continue Reading....

Makocha wa Tanzania, Chad wataja vikosi vitakavyoanza leo

Posted on: November 15, 2011November 15, 2011 - jomushi
Makocha wa Tanzania, Chad wataja vikosi vitakavyoanza leo

Na Mwandishi Wetu MAKOCHA wa Timu za Taifa la Tanzania na Chad wametaja vikosi vya wachezaji ambao muda mfupi ujao wataingia uwanjani katika mtanange wa…

Continue Reading....

Chadema, NCCR Mageuzi wachafua hali hewa bungeni

Posted on: November 15, 2011 - jomushi
Chadema, NCCR Mageuzi wachafua hali hewa bungeni

WATOKA NJE KUSUSIA MUSWADA WA MABADILIKO KATIBA, SPIKA ASEMA MUSWADA UNAPOTOSHWA Dodoma, Dar WABUNGE wa Chadema na NCCR-Mageuzi jana walilitikisa Bunge baada ya kuungana kutoka…

Continue Reading....

Askofu amshauri Mswati III kuachia madaraka

Posted on: November 14, 2011 - jomushi
Askofu amshauri Mswati III kuachia madaraka

KIONGOZI mwandamizi wa Kianglikana wa Swaziland, Askofu Meshack Mabuza, amemtaka Mfalme Mswati III kuachia madaraka ya kisiasa ili kutoa nafasi Serikali ya kidemokrasia nchini humo.…

Continue Reading....

Hili ni duka la vyombo linalohama

Posted on: November 14, 2011 - jomushi
Hili ni duka la vyombo linalohama

Continue Reading....

Rais Kikwete: Walimu wa Tanzania wanauwezo mkubwa wa kufundisha Kiingereza

Posted on: November 14, 2011November 14, 2011 - jomushi
Rais Kikwete: Walimu wa Tanzania wanauwezo mkubwa wa kufundisha Kiingereza

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kuwa walimu wa Tanzania wanao uwezo wa kufundisha somo la Kiingereza vizuri…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari