Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu wa timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Charles Boniface Mkwasa ameteua wachezaji 28 kuunda kikosi hicho kwa ajili ya michuano…
Continue Reading....Author: jomushi
Serengeti Breweries yawataja wanafunzi wanne bora iliyowadhamini Chuo Kikuu
Na Mwandishi Wetu BAADA ya kupokea maombi zaidi ya 250 ya wanafunzi wa kidato cha sita, kampuni ya bia ya Serengeti kupitia mpango wa ufadhili…
Continue Reading....Marais watatu wakutana kuijadili Somalia
MARAIS watatu wa Afrika Mashariki wamekutana katika Mji Mkuu wa Kenya, Nairobi kuonesha umoja wao juu ya harakati za Kenya za kijeshi nchini Somalia. Mkutano…
Continue Reading....Mahakama yawaonya wanasiasa, wanahabari
Na Mwandishi Wetu, Arusha JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Aloyce Mujulizi anayesikiliza kesi ya kupinga matokeo inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema…
Continue Reading....Vijana Chadema watoa kauli nzito, kuandamana bila kikomo
Na Joachim Mushi BARAZA la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) limepinga kitendo cha Bunge na Serikali kushinikiza muswada wa mchakato…
Continue Reading....