Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,063

Author: jomushi

Mkwasa ataja kikosi cha michuano ya Kombe la Tusker Chalenji

Posted on: November 24, 2011 - jomushi
Mkwasa ataja kikosi cha michuano ya Kombe la Tusker Chalenji

KOCHA Mkuu wa timu ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars), Charles Boniface Mkwasa ametaja kikosi cha mwisho cha wachezaji 20 kwa ajili ya michuano ya Tusker…

Continue Reading....

Asante Kotoko ya Ghana kucheza na Yanga na Simba Desemba

Posted on: November 24, 2011November 24, 2011 - jomushi
Asante Kotoko ya Ghana kucheza na Yanga na Simba Desemba

Na Mwandishi Wetu TIMU ya Soka ya Kumasi, Asante Kotoko ya Ghana inatarajiwa kuwasili nchini Desemba 9 tayari kucheza mchezo mmoja wa kirafiki dhidi ya…

Continue Reading....

Watanzania Ujerumani kushangweka na miaka 50 ya Uhuru!

Posted on: November 24, 2011 - jomushi
Watanzania Ujerumani kushangweka na miaka 50 ya Uhuru!

Chereko chereko zitaanzia München hadi Berlin BENDI ya Ngoma Africa a.k.a FFU Desemba 10, 2011 inatarajia kutoa burudani ya kukata na soka kwa Watanzania wa…

Continue Reading....

Maandamano yaendelea karibu na Tahrir

Posted on: November 24, 2011November 24, 2011 - jomushi
Maandamano yaendelea karibu na Tahrir

BADO kuna hali ya wasiwasi mjini Cairo huku waandamanaji wakiongeza kasi katika harakati zao za kutaka watawala wa kijeshi wajiuzulu. Kumekuwa na makabiliano katika barabara…

Continue Reading....

Lori lagonga magari saba, laua na kujeruhi Dar es Salaam

Posted on: November 24, 2011November 24, 2011 - jomushi
Lori lagonga magari saba, laua na kujeruhi Dar es Salaam

SIMANZI na majonzi jana vilitawala eneo la River Side, Dar es Salaam baada ya ajali mbaya iliyohusisha lori la mafuta na magari mengine madogo saba…

Continue Reading....

Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania katika picha

Posted on: November 24, 2011November 24, 2011 - jomushi
Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania katika picha

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari