Ni zaidi ya miezi mitatu tangu Sudan Kusini ilipojitenga na Sudan na kupata uhuru wake mwezi Julai mwaka huu. Kama nchi mpya Sudan Kusini imekuwa…
Continue Reading....Author: jomushi
Sita wafariki katika ajali ya basi la wachezaji-Togo.
Watu sita walifariki baada ya basi lililokua likisafirisha wachezaji wa klabu ya mpira wa miguu Etoile Filante kudondoka katika korongo na kushika moto. Ajali hiyo…
Continue Reading....Liverpool na Manchester City hakuna mbabe.
Bao la kujifunga la Joleon Lescott lilifuta jitihada za awali za Vincent Kompany kufunga bao wakati Manchester City walipoongeza wigo wa pointi hadi tano wakiendelea…
Continue Reading....Cairo walazimisha Jeshi kukabidhi madaraka kwa Raia.
Maelfu ya watu wamekusanyika tena Medani Tahrir mjini Cairo, mkesha wa uchaguzi wa bunge uchaguzi wa kwanza tangu Rais Mubarak kuondolewa madarakani. Waandamanaji wanajaribu kuendelea…
Continue Reading....Chokochoko za Uchaguzi Mkuu Mashirika ya misaada yasikitishwa na ghasia za Congo
MASHIRIKA ya kimataifa, pamoja na Umoja wa Mataifa yamesema yanasikitishwa na ghasia zilizotokea jana katika kampeni za uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Demokrasi ya Congo,…
Continue Reading....JK akutana na CHADEMA, wawasilisha mapendekezo yao
*Wajumbe kukutana tena leo Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na ujumbe wa Serikali yake Novemba 27, 2011, amekutana…
Continue Reading....