RAIA wasiopungua 23 wameuwawa nchini Syria huku jumuiya ya nchi za kiarabu ikiiwekea vikwazo nchi hiyo. Uingereza imeipongeza hatua hiyo ikisema ni ishara kushindwa kwa…
Continue Reading....Author: jomushi
Balozi wa Kenya afukuzwa Sudan
SERIKALI ya Sudan imemfukuza balozi wa Kenya nchini humo, kufuatia mahakama kuu ya Kenya kuamuru kukamatwa kwa Rais wa Sudan Omar al-Bashir, anayetafutwa na mahakama…
Continue Reading....Mataifa tajiri yawa kikwazo mkutano wa hali ya hewa-Durban.
WAKATI huu ambapo kikao cha viongozi kuhusu hali ya hewa kinaanza, baadhi ya nchi zinazostawi ulimwenguni ambazo zinahusika sana katika uchafuzi wa hewa zinajaribu kuchelewesha…
Continue Reading....Kenya yatoa hati ya kukamatwa kwa Bashir
Mahakama ya Kenya imetoa hati ya kukamatwa kwa rais wa Sudan Omar al-Bashir juu ya madai ya uhalifu wa kivita mjini Darfur. Uamuzi huo umetolewa…
Continue Reading....CHADEMA wakubaliana na Serikali, JK amaliza yaishe
Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hatimaye kimemaliza mvutano wake kati yake na Serikali ya CCM baada ya Rais Jakaya Kikwete kukubaliana…
Continue Reading....