Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 205

Author: jomushi

Bodi MSD Yawavua Ukurugenzi Waliosimamishwa na Waziri

Posted on: July 20, 2016 - jomushi
Post Tags: MSD Tanzania
Bodi MSD Yawavua Ukurugenzi Waliosimamishwa na Waziri

BODI ya Wadhamini ya Bohari ya Madawa nchini (MSD) imewavua ukurugenzi wakurugenzi wawili waliosimamishwa kazi hivi karibuni na kumfukuza kazi mmoja baada ya kukutwa na…

Continue Reading....

Kampuni ya Bia ya Serengeti Yazinduwa Bomba la Kudhibiti Maji Taka

Posted on: July 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Serengeti Breweries
Kampuni ya Bia ya Serengeti Yazinduwa Bomba la Kudhibiti Maji Taka

  Naibu Waziri ofisi ya Makamu wa Raisi Mazingira Mheshimiwa Luhaga Mpina (katikati) akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Helene Weesie  wakiongozana kuelekea kwenye…

Continue Reading....

Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake Ulivyonufaisha…!

Posted on: July 19, 2016July 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Maonesho ya Wanawake
Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake Ulivyonufaisha…!

  Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng’i Issa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali, Jane Baseka aliyenufaika na mafunzo chini ya…

Continue Reading....

Serikali Kuunganisha Mikoa ya Mbeya na Njombe kwa Lami

Posted on: July 19, 2016 - jomushi
Post Tags: barabara
Serikali Kuunganisha Mikoa ya Mbeya na Njombe kwa Lami

        SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Makete kwa kiwango cha lami yenye urefu wa KM…

Continue Reading....

Waandishi wa Habari Watembelea Hifadhi ya Taifa ya Gombe

Posted on: July 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Waandishi wa Habari
Waandishi wa Habari Watembelea Hifadhi ya Taifa ya Gombe

Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Boti wakielekea Hifadhi ya Taifa ya Gombe, hifadhi maarufu kwa kuwa na mnyama aina ya Sokwe mtu. Watalii wakielekea Hifadhi…

Continue Reading....

NMB Yaorodhesha Hati Fungani zake kwenye soko la hisa – DSE

Posted on: July 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB Plc
NMB Yaorodhesha Hati Fungani zake kwenye soko la hisa – DSE

            BENKI ya NMB leo imeorodhesha kiasi cha shilingi Bilioni 41.4 ilichokipata kutokana na mauzo ya hati fungani katika Soko…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari